Nancy E. Kimori katimiza umri wa miaka mi 3, Unatakiwa kila la Kheri na Fanaka toka kwa wazazi wako Mr & Mrs E. Kimori wa Mwanza, A simple celebration, a gathering of friends; here is wishing you great happiness, a joy that never ends.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
Rais Museveni atangazwa mshindi wa uchaguzi Uganda
-
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama
mshindi wa uchaguzi uliofanyika Alhamisi wiki hii, akiwa na jumla ya kura
7,946...
0 comments:
Post a Comment