Ni mapinduzi ya utupaji wa maujanja kwa viewz' pale na pale na pale... yanayozaliwa kila kukicha ndani ya chanel la watu kibaoCLOUDS TV.
Safari hii Queck Racka ndiye aliye host show na ilikuwa powa vile-vile, Washakji na watu kibao wamekuwa adicted na hili likipindi' kiasi cha kutodiriki kukosa kila mzigo unaotupwa hewani.... Eh bana G. Mie napigiwaga masimu tu!!
Si unataka mautamuUUUUU!!!?
Angalia STEP UP PLayer.
By Ezekia Bhoke @Rock City.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment