ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 21, 2011

KITU CHA MLO FASTA - HICHOooo...SOKONI

Ni dagaa waliokwisha andaliwa na viungo Tayari kwa kupasha na kula.

VIUNGO:-Dagaa bila vichwa, mafuta, Nyanya, Vitunguu swaumu, Vitunguu, Chumvi, Pilipili, Ndimu na Binzari.

Imepakiwa kitaalamu kuhifadhi ladha na usalama. Hakuna Dawa za kuhifadhi chakula. Tunza kwenye friji baada ya kufungua.

Ni bidhaa kutoka RAPID FISHERIES LTD MWANZA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.