Ni furaha kubwa kupata mtoto, kwani ndiyo tunda pekee linalosubiliwa na familia mara baada ya kipindi kirefu cha uvumilivu na mihangaiko aipatayo mama.
Humphrey simon akiwa na mtoto mikononi mwake pembeni mkewe akipokea pongezi kwa njia ya simu.... sikio langu lilinasa maneno ya aksante-aksante nyingiiiiii....
Tha baby to her mom akapate udrinkiZz...
Dakika sifu ...Sssshii mtoto kalala.
Marafiki tuliofika jana jioni katika hospitali ya Kilonzo Mwanza kutoa zawadi, uvumba na manemane kwa mtoto huyo aliyezaliwa.
Kwa niaba ya wadau wote wa blogu hii ya jamii natoa pongezi kwa Mr&Mrs Humphrey kupata matunda ya ndoa,Big Up sana... Mwaka wenu huu.
Mungu awabariki.

Tupe maoni yako
hongera mzee wa serengeti ndogo bariiiiidi,huyo mwenye fulana ya mistari anaoa lini?
ReplyDelete