ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, November 22, 2011

TWANGA PEPETA KUKAMUA NA WANA UINGEREZA JUMAMOSI HII

Mkurugenzi wa African Stars ASHA BARAKA pamoja ofisa wa Ubalozi nchini Uingereza AMOSI MSANJILA wanazungumzia kuhusu maandalizi na matayarisho kwa ajili ya ziara ya Twanga Pepeta "KISIMA CHA BURUNDANI'' nchini Uingereza katika Kuazimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Show hii itafanyika jumamosi Tarehe 26 November 2011 katika Ukumbi wa Club 2000 (Silver Spoon)Savoir Banqueting Suite, Popin Building Southway, Wembley HA9 0HB.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.