Sherehe nzuri ya kufana imefanyika nyumbani kwake usiku wa kuikaribisha tarehe yake ya kuzaliwa 21novemba, pichani Lilian (kulia) akipokea kwa kiduku zawadi toka kwa dadake.
Zawadi nyingine hiyoo kitu cha 'pondaponda'
Fungua tuone yaliyomo yamo....
Zawadi + Hug and kises..
Marafiki na Sheila.
Bro. Philly Kabago na wadau waalikwa shughulini.
Majirani walio alikwa usiku.
Chakula time.
ChiazZZz!!
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.