HALI YA SASA 19:30
Hali ya sasa ni shwari mara baada ya mafuriko makubwa yaliyotokea na kusababisha kusitishwa kwa safari zote za anga.
Safari za ndege zimerejea kama kawaida baada ya safisha safisha ya njia za ndege kufanyika. Precission Air ile boing imefika na kuondoka, Precission ATR 42 nayo imeland na kuondoka na abiria salama salmini.
Nayo ndege ya Kahama Mining iliyokwama kutua wakati wa gharika na kuamua kurejea kahama imetua muda mrefu uliopita na kusepa... ndege inayosubiriwa kwa sasa ni 540.. "Siyo shambani bali naelekea uwanja wa ndege"- Wazee wa safisha safisha.
Tupe maoni yako
poleni sana watu wa mwanza kwa mafuriko
ReplyDelete