Hivi kwa mfano unamdai mtu ana kuzungusha kwelikweli, halafu mara mkiwa pamoja njiani na mazungumzo yenu ya deni nawe ukiwa umefura ile kinoma noma, unaokota kiasi kile kile unachomdai.
Jeh! utaendelea kudai ama utamsamehe mdeni wakoooooo?
Tupe maoni yako
Hadithi ya kumlaza mtoto usiku.Ni hadithi za Abu nuwasi.ALFU LEYLA WA LEYLA .Ndipo pale abunuwas alipopita akamkuta juha anakata shina la mti akiwa amekaa upande shina litakapoanguka.bunuwas akamwambia juha likianguka shina na wewe utaanguka na kweli lilipoanguka na yeye pamoja chini.juha akamfuata bunuwas akitaka kujua lini atakufa.
ReplyDeleteDah miti mirefu umetisha .... unaonaje ukiendelea na hadithi tujuwe nini alichoambiwa au kilitokea mara baada ya juha kumfuata Bunuwas kujua lini atakufa...
ReplyDeleteDeni liko palepale ....ila kwa ukarimu wako unaweza kuliahirisha na furaha wa mtaji mpya unaweza ukamwalika kiburudisho hata kumchinjia.
ReplyDelete