Millard Ayo na G. Sengo
Millard na Philbert Kabago wa Passion FM
Hapa ni Millard Ayo, G.sengo na Producer Kid Bway wa Tetemesha Production.
Kutana na memba walio chini ya Tetemesha...Sajna,...,....
Kosha na mwonekano/taswira ya usiku.
Watangazaji toka star Tv Husna Mlanzi na Fatma Shemweta nilipo wafuma katika Club Villa Mwanza.
Wadau Toka Sahara Communication na wikiendi zao.
David wa Majour Drill.
Mwanza kunamaeneo mengi yenye vivutio vya utulivu kwa nafsi, jana j2 wazee wa Mwanza walinidondoshwa eneo moja linaitwa Ibanda Ziwani mahala zichomwapo nyama na supu tamu kuliko zote duniani.
Brother Jackson wa Majour Drill.
Hapa wadau wakipata mishaki na miminamimina zao'' Najua mnamaswali mengi ya Panaitwaje? Tuliza ball - Bado panatafutiwa jina..
Washkaji wa Rock City katika pozi la 'pamoko' Club Lips (picha hii na The big top ten).
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.