Kutoka kushoto ni MC Sauda Mwilima, Mratibu wa shindano hilo Maimatha Jesse (Mai), Asha Baraka na Khadija Kalili.
Migongo ikapindwa basi ilimradi ilikuwa rahaaaaa.
Miondoko ikiendelea nyoka zikakatwa kila mmoja kwa umahiri wake aliojaaliwa.
Hawa ndiyo Majaji akiwamo Mtangazaji wa Kituo Cha Redio Clouds Gerald Hando (katikati) wakiwatendea haki washiriki, huyo bidada aliyeketi ni aliyekuwa mshindi wa pili wa shindano la Kimwana Manywele 2007 Husna Idd.
Mpenyezaji wa picha na habari hizi Khadija Kalili BONGOWEEKEND (kulia)na Asha Baraka katika pozi kirafiki zaidi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.