Monday, May 30, 2011
BANGO
Akiwa ni mmoja ya watayarishaji wa muziki hapa nchini, akichangia mapinduzi ya Bongo Fleva Hip hop kwa kufanya kazi na wasanii wakubwa nchini kama vile Joe Makini, Profesa Jay, Juma Nature, J MOO, Kundi la Nako2Nako na hata kuwanyanyua wasanii wachanga wakasikika, jamaa kwa sasa anapiga mzigo pale Mo Recordz Mwanza, Hapa namzungumzia Producer Nick Owiti Jr aka Q The Don ambaye Today is his birthday.
HAPPY BORZDEY JOMBAAaa!!
@G.sengo
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.