Bao pekee la Ronaldo liliizamisha Spurs huku Real ikisonga mbele kwa jumla ya mabao 5-0.Inter Milan nayo iliyaaga mashindano hayo baada ya kuzabwa mabao 2-1 na Schalke 04. Schalke inasonga mbele kwa jumla ya mabao 7-3.

Schalke sasa itakutana na Manchester United katika nusu fainali. United ilitinga nusu fainali baada ya kuinyuka Chelsea kwa jumla ya mabao 3-1.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment