Huku gari ikiwa katika mwendo, macho kwenye simu akichati na simu mbili, Ni dereva wa basi dogo la abilia maarufu kama daladala inayotoa huduma njia ya Nyasaka hadi Igoma kupitia Nyakato Mecco jijini Mwanza .
Hii ni hatari sana. Utafiti unaonyesha kwamba kuendesha huku ukiandika meseji ni hatari zaidi kuliko mtu aliyelewa au kuvuta bangi. Utafiti ninaourejelea unapatikana hapa:
Hii ni hatari sana. Utafiti unaonyesha kwamba kuendesha huku ukiandika meseji ni hatari zaidi kuliko mtu aliyelewa au kuvuta bangi. Utafiti ninaourejelea unapatikana hapa:
ReplyDeletehttp://matondo.blogspot.com/2009/08/utafiti-kuendesha-gari-huku-ukituma.html