Ni mwanadada Irene kutoka Clouds Tv hapa akila upepo wa fukwe za Hotel Tilapia Mwanza.
Jiwe hili la msingi ni la Uwanja wa Kihistoria wa Nyamagana, ule uliozua sokomoko lisilojulikana limeishia wapi (la kubadilishwa matumizi kwa maslahi ya mwekezaji mmoja hivi).
Maandari ya pembe ya Hotel Tilapia.
Vinyago hivi vya taswira halisi ni ukutani kuelekea kaunta ya nje Hotel Tilapia Mwanza.
Mambo ni SATO.
Siyo jua wala mwezi ni taa, Rangi za kituo cha mabasi Rock City alfajiri sanaaaaa.
Taarifa kwa Umma Kuhusu Ongezeko la Bei za Mafuta.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Tunatambua ongezeko kubwa la hivi karibuni la bei za mafuta ambalo
limeongezeka kwa asilimia 33. Kama jukwaa linalolenga kusawaz...
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
Shukrani kwa picha za Rock City.
ReplyDelete