ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, February 26, 2011

CHUNGUZA MJOMBA UTABAINI....!

Watoto wakirejea makwao mara baada ya safari ya kusaka nishati kukamilika kama nilivyokutana nao barabara ya Isamilo.

Wazee wa vyuma chakavu tayari wamefanya mambo.
"Nishushe kwenye bango la kijani" ....hola! wazee wa vyuma chakavu tayari washachukuwa mzigo.

Mtungo jaz bendi....

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.