
Mteja :: Utaniambia nini wewe si k..a tu!
Muhudumu :: Wewe Ms..e unasemaje?
Haikuchukuwa raundi kwa mhudumu kuimiliki shingo ya mteja kwa kumpiga roba (kabali), nyonga-nyonga, niga-niga....!!...!!
Mteja :: 'aaagh NIACHIE'
Mhudumu :: 'SIKUACHII'. Hamadi sikio hili hapa mhudumu akapata 'aNaZa aIdIa' akaling'ata akilisigina kwa meno hadi likakatika 'nkwachu' kisha akalitema ppTuU!!
Tupe maoni yako
Duh! ni hatari kwenda kwenye hiyo bar kama mambo yanyewe ndo hivyo. Pole kwa kungátwa na sikio....
ReplyDeleteUkitaka kula nenda mgahawani, Bar kuna mengiii. Pole sana.
ReplyDelete