"Mama nanihiii.... njoo umwone mwanao!" ile kufika tu!..anatupa macho, mtoto kajikandika mafuta usoni, viganjani, kichwani hadi kwenye nguo, kope za macho zinafunguka kwa mahesabu kutokana na wingi wa mafuta. !TOBA! Upande wa nyuma wa kichwa nako...tu..tu-tu! Nibaraa! Naivuta picha kama bidhaa hii ingekuwa zile za kemikali ingekuwaje!? Ndomana bidhaa nyingi zilizo na kemikali au hata zisizo na kemikali, lebo zasema weka mbali na watoto.
KAMCHEZO KAPYA. Mara zote michezo inawajengea watoto tunu njema kama umakini, utulivu, furaha, urafiki, ubunifu, kuchemsha bongo, kutulia nyumbani na mengine mengi.
Sengo, Utoto una raha zake.Mojawapo ni hii.Kujaribu bila woga.Mtu mzima angeambiwa ajikandike mafuta namna hiyo,ingekuwa shughuli.Angeuliza maswali kibao.Kwanini...halafu itakuwaje.Nikidhurika je?Mtoto yeye anajaribu,twende kazini.Potelea mbali.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
Sengo,
ReplyDeleteUtoto una raha zake.Mojawapo ni hii.Kujaribu bila woga.Mtu mzima angeambiwa ajikandike mafuta namna hiyo,ingekuwa shughuli.Angeuliza maswali kibao.Kwanini...halafu itakuwaje.Nikidhurika je?Mtoto yeye anajaribu,twende kazini.Potelea mbali.
Asante kwa ku-share hizi picha.