Kituo cha THT (Tanzania House Of Talent) kimetimiza miaka 5 tangu kuanzishwa kwake, ndani ya maadhimisho yake yaliyofanyika usiku wa jana katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, jumla ya wasanii sita wa kituo hicho walizindua album zao kwa pamoja.Hawa ndiyo waliozindua album zao ndani ya usiku huo. Kutoka kulia ni LINAH, BARNABA, MATALUMA, DITTO, MWASITI na AMINI hapa ni kabla ya kuingia ukumbini kwa shughuli.
Pichani ni msimamizi wa kituo cha THT Ruge Mutahaba, kulia mratibu wa mradi wa maralia mpango wa zinduka hapa nchini mama Sadaka Gandi wakijaribu kuweka mambo sawa mwanzo wa shughuli.
THT Dancers waliangusha burudani zaidi ya uwajuwavyo
Aliyetumika kung'arisha kibao kipya chake Sajna kiitwacho 'SITAKI TENA KUUMIZWA', namzungumzia mwanadada LINAH akiimba wimbo ATATAMANI, ambao ni moja kati ya zile kali zinazopatikana ndani ya album yake.
'BEST Vocalist' Banana Zahir Zorro nae alikuwepo kutoa sapoti kwa wana wa THT kutimiza miaka mitano.
HABARI NA PICHA ZAIDI TEMBELEA www.michuzijr.blogspot.com PICHA ZOTE KWA HISANI YA JIACHIE.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.