Kampuni ya bia Tanzania (TBL) juzi iliandaa usiku wa Cellebrty wa Mwanza ambapo ilialika marafiki baadhi tu (blog yako ikiwemo ndani) kwa nia ya kukutana, kufahamiana na kufahamishana kinachoendelea mjini ikibidi kwingineko.
Hakika ilikuwa aidia' nzuri sana kwani huwa inatokea mara chache kukutana watu wa aina FLANI HIVI mahali moja kubadilishana contact, mawazo, ujuzi na kadhalika.
Mamaa FLORA wa Flora Salon ya jijini Mwanza alipopoata nafasi ya kueleza chochote anachoweza kuwashirikisha wadau katika usiku huo, aliitumia vyema nafsi hiyo kutangaza huduma zitolewazo na kampuni yake, alikuja na gia ya hadithi za Vallentine's Day. Watu walivutiwa na stori yake.
Sister'z.
Wenye black koti'z, Kigodi na George Mgulu aka ALKAPAINO' toka Vodacom na wadau wengine wa mashirika na makampuni mbalimbali kama CRDB, TTCL, NMB ndani ya usiku huo bustani ya Hotel Tilapia.
Wadau Katika meza.
Toka TBL brother Kasiro Msangi sambamba na kuanisha umuhimu wa kusanyiko kama hilo vilevile alitumia usiku huo kuwaaga wadau wa Mwanza na kuwakaribisha Arusha makazi yake mapya ya kazi wiki kadhaa zijazo.
The BIG MEN - Mr. Mwambo akidondosha nondo zake.
Kila meza ilishine kwa Tabasamu na vicheko, siunajua tena mambo TI-BI-ELO!!...!!
WAACHENI WATOTO WAENDE SHULE- RAIS SAMIA
-
Na John Mapepele -OR TAMISEMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan
amewataka wazazi nchini kuwaachia watoto wa kike kus...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.