DJ ELLY NA MC SAKINA LYOKA TOKA CLOUDS FM & TV WAKISHIRIKIANA NA MC KATUMBA WA STONE CLUB WATATUMIKA KISAWASAWA KUNAKSHI USIKU HUU WA TAARABU. Waliosimama kutoka kushoto ni MC KATUMBA, DJ.ELLY BIG DADY 4BY4 (mzee wa Night Kali) na akiwa na Sakina Lyoka, walioketi ni waimbaji malkia wa taarab Khadija Omar Kopa na Sabaha Salum, hapa wakizungumza na wakazi wa Rock City kupitia mawimbi ya Radio Passion fm Mwanza mchana huu kuwapa menyu ya usiku wa leo ndani ya STONE CLUB Mwanza.
Taharuki Hoteli ya Lark, Wafanyakazi Wafungiwa nje
-
Na Mwandishi Wetu
WAFANYAKAZI 20 wa hoteli ya Lark iliyopo ndani ya jengo la Noble Centre Dar
es Salaam, linalomolokiwa na CRJE wamezuiwa kuingia ndani ya...
Kaka Katumba hivyo hivyo!! Walete na wengine. Ngereza
ReplyDelete