
Zana hizi za ndani zilizotengenezwa kwa miti huku zikiwa namvuto wakipekee zinapatikana katika ofisi za Tanapa barabara ya kuelekea Hotel Tilapia na Yatch Club Mwanza.
Kukamilika kwa mchakato huo, kumeiwezesha hifadhi hii kuwa ya kipekee hapa nchini kwa kuvuta idadi kubwa ya watalii wa ndani ambao hadi sasa wanazidi wale wa nje kwa asilimia 90, kwani kila siku hasa za jumapili wabongo wamekuwa wakidondoka katika eneo husika.
MORE PIX.....
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.