Kwa wauza viungo vya pilau Vikumbo mbona kawaida tu! Hapa ni mchuuzi aliyepanga pembezoni mwa njia soko la kirumba.
Mwisho wa msimu huu ndiyo mwanzo wa msimu wa masuala ya skonga.
Kwa kawaida hapa nchini, msimu kama huu mitaa mingi hasa ile ya biashara, town kati na sokoni imekuwa ikitawaliwa na shamrashamra tofauti. Huyu peke yake, yule na familia almuradi manunuzi bin manunuzi.
Wadadaz wakichagua vya mtoko maeneo ya nje soko kuu Mwanza.
Kwenye vichochoro nako kuta zinapuputika, eti kisa lugha gongana.
Hapa ni Ndani ya maduka ya jengo la biashara stendi ya zamani Tanganyika basi, kama ujuavyo maandalizi ya sikukuu huanzia katika mavazi sekta korofi kulizo zote.....
Misele au biashara?
Ndani ya mtaa maarufu wa makoroboi nako mishemishe nibaraa! Madukani nako kutokana na msongamano joto mtindo mmoja ingawa mvua yanyesha.
Mtaa wa msikiti wa Ijumaa na hali yake leo, huyu anasaka nguo yule mafuta.
Taarifa kwa Umma Kuhusu Ongezeko la Bei za Mafuta.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Tunatambua ongezeko kubwa la hivi karibuni la bei za mafuta ambalo
limeongezeka kwa asilimia 33. Kama jukwaa linalolenga kusawaz...
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
0 comments:
Post a Comment