DAKIKA HII HII ....KIPA NAMBA MOJA JUMA KASEJA KAIBUKA SHUJAA BAADA YA KUOKOA MKWAJU MMOJA WA PENATI KATI YA MITANO, NI PENATI ILIYOPIGWA NAYE TONNY MAWEGE NA KUIWEZESHA KILIMANJARO STARS KUSHINDA KWA BAO 5-4 NI KATIKA MICHUANO YA TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP HATUA YA NUSU FAINALI.
KWA UPANDE WA KILIMANJARO STARS MAGOLI YA PENATI YALITUMBUKIZWA KAMA IFUATAVYO:- 1. NSAJIGWA 2. STEPHANO MWASIKA 3. SHAHBAN NDITI 4. MACHAKU 5. ERASTO NYONI
STARS KUKIPUTA FAINALI DHIDI YA IVORY COAST SIKU YA JUMAPILI.
BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza
kuwa CCM itaen...
BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza
kuwa CCM itaen...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.