Inamhusu kila mmoja aliyezaliwa siku moja na maadhimisho haya ya kuzaliwa masia yaani tarehe 25/Disemba. Ilikuwa tamu sanaaaaaa! Aksante kwa aliyeitwaa kwetu sisi.
Derick Nyathi na 'wazeeeya' mchezoni katika fukwe za malaika.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
Rais Museveni atangazwa mshindi wa uchaguzi Uganda
-
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama
mshindi wa uchaguzi uliofanyika Alhamisi wiki hii, akiwa na jumla ya kura
7,946...
0 comments:
Post a Comment