Tupe maoni yako
Watumishi Watakiwa Kuzingatia Taratibu za Ununuzi Ili Kuepusha Mianya ya
Rushwa
-
Na Mwandishi Wetu TABORA
WATUMISHI kutoka Taasisi mbalimbali wametakiwa kuzingatia taratibu za
manunuzi ili kuepusha mianya ya Rushwa na kuendelea k...
17 minutes ago
Happy EARTH DAY Shemeji.
ReplyDeleteNi baraka kuwa na mtu ambaye anajivunia kuwa nawe, lakini pia ambaye unajivunia kuwa naye. Yaani ambaye anakufanya ujivunie kuwa naye kiasi cha yeye kufanya mjivuno uliopo mwako uwe wake.
Sijui kama naeleweka, ila kwa ufupi ni kuwa NAWATAKIA MAISHA MEENGI YENYE WINGI USIO NA WENGI
Yaani baraka kwenu
HAPPY EARTHDAY SHEMEJI