Sengo - una kiwango gani cha elimu, ustaarabu na ubinadamu? Hiyo picha ya kwanza iondoe please. Huyo ni binadamu na binadamu tuna kiwango fulani cha ubinadamu na heshima kwa binadamu wenzetu. Iweke mahali na weka onyo kwamba picha haipendezi na kama kuna mtu anayetaka kuiangalia basi afanye hivyo kwa hiari yake. Ndiyo ubinadamu huo na dunia nzima ndivyo hufanya. Umenishangaza sana.
Halafu tazama masikini unavyoshabikia, eti "Ngoma kama hii unaambiwa tafuta pua ya marehemu" Hujui hata wewe unaweza kutoka hapo nje sasa hivi ukakanyagwa na gari ukafa kama huyo baba? Au wewe Mungu mmeshaandikiana mkataba utakufa lini na utakufaje. Please iondoe hii picha. Niko tayari kuwasiliana na Google kuhusu suala hili hata kama ni kwenda ofisini kwao kuu kwa miguu (nakaa karibu nao tu hapa)
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2...
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
Sengo - una kiwango gani cha elimu, ustaarabu na ubinadamu? Hiyo picha ya kwanza iondoe please. Huyo ni binadamu na binadamu tuna kiwango fulani cha ubinadamu na heshima kwa binadamu wenzetu. Iweke mahali na weka onyo kwamba picha haipendezi na kama kuna mtu anayetaka kuiangalia basi afanye hivyo kwa hiari yake. Ndiyo ubinadamu huo na dunia nzima ndivyo hufanya. Umenishangaza sana.
ReplyDeleteHalafu tazama masikini unavyoshabikia, eti "Ngoma kama hii unaambiwa tafuta pua ya marehemu" Hujui hata wewe unaweza kutoka hapo nje sasa hivi ukakanyagwa na gari ukafa kama huyo baba? Au wewe Mungu mmeshaandikiana mkataba utakufa lini na utakufaje. Please iondoe hii picha. Niko tayari kuwasiliana na Google kuhusu suala hili hata kama ni kwenda ofisini kwao kuu kwa miguu (nakaa karibu nao tu hapa)
Tujifunze kuwa wastaarabu jamani!
Uncleeeeeeeeee! ondoa hiyo picha ya kwanza inatisha na haifai kumbuka blong lako pia watoto wanatizama.
ReplyDeleteg sengo hizo picha zinatisha bana uwe unatoa tahazari utanifanya nisile nyama mwezi mzima sasa
ReplyDelete