STEND YA BASI SHINYANGA INAVYOONEKANA LEO.
HAKIKA NI HATUA NJEMA , KWANI MWAKA JANA TU! NILIPO TEMBELEA ENEO HILI (STEND YA BASI SHY)HALI ILIKUWA HIVI MJOMBA, FULL PODA, FULL VUMBI.
KITUO CHA MAFUTA KILICHOPO NJE KIDOGO YA MJI WA SHY.
INGAWA UKO JALALANI, KWA WALIOSTUKIA HUU MZIGO NAONA MATE YANAKUSANYIKA KINYWANI.
MDAU WAUJUA VIZURI UKWAJU WEYE?
Tupe maoni yako
Nimeipenda sana blog yako kaka tuko pamoja Mwanza wazima lakini.
ReplyDelete