KWA MUJIBU WA APRM WAKE TOKA SAHARA COMMUNICATION BW. R.SHILATU KANITHIBITISHIA HILO KUWA KID KATOKA HOSPITALI MAPEMA LEO HALI YAKE AKIWA ANAJITAMBUA VIZURI, ANAONGEA YEYE KAMA YEYE NA BUSARA ZAKE NA SI KUROPOKA, ANATEMBEA, ANAKULA VIZURI, TABASABU LIMEREJEA ANAFURAHI KIUFUPI YUKO FRESH YAANI SAFIi
YALE MAUMIVU YA KICHWA KWA SASA HAYAPO,
LILE TATIZO LA MAUMIVU YA KICHWA LIMEBAKI KUTOKEA KWA MARA CHACHE NAYO MAUMIVU NI KIDUCHU SANA SI KAMA AWALI.
AMEANDIKIWA DAWA ATAKAZOTUMIA KWA MUDA WA MWEZI MMOJA DOZI IKIWA NI KILA SIKU KIDONGE KIMOJA.NA KUHUSU KUPIMA AFYA AMEANDIKIWA KURUDI TENA HOSPITALI HAPO KWA AJILI YA CLINIC TAREHE 19 MWEZI HUU.
BLOG HII INATOA SHUKURANI ZA DHATI KWA WAGANGA NA WAUGUZI WOTE WA HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA KWA HUDUMA NZURI WANAZOZITOA, VILEVILE JESHI LA POLISI KWA HARAKATI WANAZOENDELEA NAZO KUHAKIKISHA MTUHUMIWA ANAKAMATWA.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.