IMETOKEA TU KATIKA INSHU ZA KUSAKA MAHELA PLUS MAISHA VIJANA WANAKUTANA MKOA MWINGINE, ISHU INAKUWA UTATA PALE WATU WANAPOTAKA KUTIMUWA ZILE DIL ZA ONE 4 THE ROAD EH BANAEeee! HAPA ZILIPIGWA ONE 4THE ROAD KAMA 5 HIVI BABAKE, MWISHO WA SIKU HAKUNA KUAGA.
VILLA PARK JIJINI MWANZA EH BANA SI BUTANI KUMEKUCHA ILE MBAYAA, WAKIPIGA MUZIKI WA BAKULUTU NA MUZIKI WA KISASA HII NI BENDI YA OCH KAMANYORA YA JIJINI MWANZA UTAKAYOKUTANA NAYO VILLA IKIWA NI UKURASA WA KWANZA WA BURUDANI, YAANI GETINI KWA HAPA HIVI.
HUYU MKONGWE ANAITWAaaaa......
UKIZAMA NDANI HAWA NDIYO MA DJz WA VILLA NIGHT CLUB KUTOKA SHOTO NI DJ SAMM MWANGI, DJ JOHN, DJ MALIZ, DJ DEVY NA DJ CHRISS.
CHEKSHIA INAVYOHAPEN"
NIKIRIPOTI PALE KATI NI MIMI...
Tupe maoni yako
Hii imesimama balaa hutaki hulazimishwi maisha yanasonga. Mzeya sengo twende kazi mkubwa.
ReplyDeleteVictor Kepha
Yees! Mpango mwingine maeneo mengine vijana wakizungumza lugha nyingine!
ReplyDeleteG mzeya hii iko sawa mbaya
Victor Kepha
Umenikumbusha mbali....... poa lakini
ReplyDelete