MAAFALI YA SHULE YA SECONDARY MIRONGO.
KABLA YA MGENI RASMI MWENYEKITI WA BODI ALIKUWA NA YAKUSEMA KWA WAZAZI WAAGWA NA WAALIKWA.
TENDA HAIKUTOKA NJE KWANI MC WA SHUGHULI ALISIMAMA TICHA WA PALEPALE SKULI MWL. MSILANGA (MR HANDSOME).
FASHION SHOW KTK MAVAZI FULL VIPAJI HAPA NI KATIKA VAZI LA KIAFRIKA.
MWONGOZO SAFI KIMAADILI SUALA LA MAVAZI NA KUMWABUDU MUNGU HAPA NI CONSOLATHA NORBRTH NA VAZI LA KANISANI.
WAZAZI WENYEWE NI WAKUU WA SEKTA, AMANI YA KUTOSHA.
MISOSIz NA KILI BARIiiD! SIR VICTOR NA SIR KIZITO SOSHO.
'KANDAMIZA UBWABWA WA SHEREHE' HAPA NI SIR MBWANA, SIR BENSON, MADAM ABEID, MAMA NEEMA NA MADAM WAMBURA.
MAMBO YA MENYU, SIR MABUGA NA MADAM LUBASHA.
WAKIFUNGUA MUZIKI MGENI RASMI, MKUU WA SHULE, MAKAMU MR. SAGARA NA MR VICTOR.
NANI AMESEMA DANCEHALL ZIMESAMEHEKA HAPA NI KIDATO CHA 1 NA CHA 2 WAKIONESHA NI NAMNAGANI YA KUDANCE.
PALE KATI MAMBO YA KIDUKUzz!
UTAMADUNI SHULE YA MIRONGO, HAPA NI IBRAHIMU NYANDA NA HAPPY PAULO WAKIONGOZA NGOMA ZA UTAMADUNI.
MAMA ALIONA HAPANA NGOJA NIKALISAKATE JIVING' NA WAAGWA WA FORM 4.
MKUU WA SHULE AKITIMBWIRIKA NA MKONO MMOJA WEKA JUU!
WAKILISAKATA RUMBA MARA BAADA YA HOTUBA, MISOSSI NA VYETI.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.