BW. STAREHE PENDAEL MUSHI AL-MAARUFU KWA JINA LA MC BONKE WA JIJINI MWANZA ANATOA TAARIFA ZA MSIBA WA MAMA YAKE MPENDWA SCHOLASTICA MANGALE (PICHANI) AU MAMA PENDAEL ALIYEFARIKI DUNIA USIKU WA TAREHE 12.08.2010.
MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA JUMATATU YA TAREHE 16.08.2010 SHAMBANI KWAO MIYUJI DODOMA MJINI.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.