LEO NI AUGUST 13/2010, NI SIKU ILIYO NA HISTORIA KUBWA KWA MASHABIKI WA MUZIKI AFRIKA MASHARIKI HUSUSANI KANDA YA ZIWA VICTORIA NCHINI TANZANIA KWANI KIJANA WAO ANAYE SIMAMA KAMA BALOZI KUZITAMBULISHA SANAA NA RASLIMALI ZILIZOPO ZONE HIYO FARID KUBANDA AL-MAARUFU 'FID Q', ANAKUMBUKA SIKU ALIYO ZALIWA. SONGA BROTHER! BLOGU HII YAKUTAKIA KILA LA KHERI KATIKA HARAKATI ZA MAENDELEO (YAKO NA JAMII KWA UJUMLA).
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
Mbona Nyabulebeka silioni.. ulituahidi kaka G.
ReplyDelete