SIYO KWAMBA ZIKO KATIKA YARD YA KUUZA VYOMBO VYA USAFIRI, A-AAAA! HIZI NI PIKIPIKI ZILIZO KAMATWA JIJINI MWANZA NA JESHI LA POLISI MWANZA KUTOKANA NA MAKOSA MBALIMBALI YA USALAMA BARABARANI AU KUHUSISHWA NA MATUKIO YA UHALIFU AU PENGINE KUKOSA SIFA ZA KUWA BARABARANI (LESENI NA KADHALIKA).
HIVYO MWANAWANE, HUNA BUDI KUVUMILIA ILI UPATE KUPONA.
NI MAWE YANAYOTUMIKA KAMA VIGAE, MENGINE HUPANGWA UKUTANI KUNAKSHI KUTA, MENGINE SAKAFUNI. YAKIPAKWA VANISH UTAYATAKA. HUSAFIRISHWA KUTOKA MKOA WA KAGERA HADI SOKONI MITAA MBALIMBALI JIJINI MWANZA.
MCHICHA WA SH 100 MWINGI ILE KISAWASAWA!USHINDWE MWENYEWE TU! KUBORESHA MLO WAKO KWA ZAO BEI RAHISI, ZAO LISILO KUWA NA MSIMU MBOGA ZA MAJANI, KWANI HAPA JIJINI LINALIMWA HATA TOWN PEMBEZONI MWA ZIWA VICTORIA.
Maji bwawa la Mindu ni Salama - Bonde la wami Ruvu
-
Na Farida Mangube Morogoro
Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu imewatoa hofu wakazi wa Manispaa ya
Morogoro kuwa maji ya Bwawa la Mindu ni salama, kwani ke...
0 comments:
Post a Comment