WAMEVAA VITAMBAA VYEUSI MKONONI WAKIMAANISHA KUWA LAZIMA KIELEWEKE(UCHAGUZI URUDIWE)NA WANACHAMA WOTE WAPATE FURSA YA KUPIGA KURA. SAKATA LA KUPINGA MATOKEO KWA WAGOMBEA WA CCM KUPITIA NGAZI MBALIMBALI ZA CHAGUZI ZILIZO FANYIKA JUMAPILI NCHINI KOTE LIMEENDELEA TENA LEO JIJINI MWANZA PALE AMBAPO WANANCHI WANACHAMA WA CCM KATA YA MBUGANI WALIPOVAMIA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA CCM MKOA WA MWANZA, WAKIDAI KUWA UPIGAJI KURA KATA YA MBUGANI URUDIWE KWANI HAUKUTENDEKA KWA HAKI NA KAMA HAUTORUDIWA, BASI WANACHAMA HAO WATARUDISHA KADI ZAO.
WANANCHI HAO WAMEDAI KUWA UCHAGUZI WA DIWANI KTK KATA HIYO HAUKUENDA KAMA ILIVYOPASWA KWANI WANANCHI WALIO WENGI WALIZUILIWA KUPIGA KURA KWA KUAMBIWA KUWA MAJINA YAO HAYAMO KWENYE DAFTARI LA UANACHAMA.
WAMEENDELEA KUHOJI KUWA IWEJE VIONGOZI WA KATA, TAWI NA WILAYA WAWACHAGULIE KIONGOZI WASIYEMTAKA, ALIYESHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU KTK AWAMU ILIYOPITA KWA KUELEMEA UPANDE WAKE MARA BAADA YA KUGUNDUA KUWA ANGESHINDWA UCHAGUZI, HIVYO MBINU CHAFU ZIKAANZA KUTUMIKA(KAMA HIYO YA KUWAZUIA BAADHI YA WANACHAMA KUPIGA KURA).
DIWANI ANAYELALAMIKIWA KUSHINDA KIMIZENGWE KATIKA KATA HIYO YA MBUGANI NI BW.EMANUEL BAHABE ALIYEKUWA AKICHUANA NA WAGOMBEA WENGINE HUSSEIN MANUMBU, MKANGARA, MABINDO NA MASATU.
SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KING LION
-
Prof.Mkumbo katikati akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa King Lion
Arnold Lyimo.
Waziri Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na wawekezaji wa ...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.