Tupe maoni yako
Tunachokijua kuhusu miji ya mahandaki ya Iran yaliyojaa makombora
-
"Ikiwa watafichua mji mmoja wa makombora kila wiki, mfululizo huu hautaisha
ndani ya miaka miwili," Amir Ali Hajizade asema.
28 minutes ago
Hongera sana Kizito Bahati aka jamii "sosho"..
ReplyDeletenimefurahi kuona taswira yako kwani ni takribani miaka 7 zaidi hatujaonana.
Nakutakia wewe na mkeo maisha ya furaha ya ndoa.
Remain bless
Padre wa Nyamagana enzi za mwalimu..hahaa