NDOA TAKATIFU ILIFUNGWA TRH 29 MAY 2010 KTK KANISA LA RC BUGANDO.
PICHA YA KUPENDEZESHA ZAIDI.
KUNA VITU VYA KUSAHAU LAKINI SIO WIMBO WA KWANZA WA MAHARUSI WA KUFUNGULIA MZIKI, KWANI HUWA UNACHAGULIWA NA WAHUSIKA WENYEWE KAMA WIMBO MAALUM NA MARA ZOTE UNA UJUMBE KWAO.
MAHARUSI PEMBEZONI MWA RASLIMALI ZA KITALII. LAKO JICHO CHUNGUZA!
TWAP! BWANA NA BIBI HARUSI WAKIUKATA UTEPE KUASHIRIA UFUNGUZI RASMI WA SHEREHE ILIYOFANYIKA KTK UKUMBI WA NEW MWANZA HOTEL.
NILISHE NIKULISHE NI ISHARA YA UPENDO.
RAHA YA SHEREHE NGOMA, WACHA WATU WALIZUNGURUSHE PALE KATI.
MAHARUSI NA WAZAZI.
KAMA MAUA YAPENDEZAYO BUSTANINI, MAHARUSI NA SAFU NZIMA.
Tupe maoni yako
Hongera sana Kizito Bahati aka jamii "sosho"..
ReplyDeletenimefurahi kuona taswira yako kwani ni takribani miaka 7 zaidi hatujaonana.
Nakutakia wewe na mkeo maisha ya furaha ya ndoa.
Remain bless
Padre wa Nyamagana enzi za mwalimu..hahaa