Tupe maoni yako
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
1 hour ago
hapo ni mjini kaka
ReplyDeletehilo jengo la rangi ya njano ni Salma cone na pembeni yake kulikuwa na TOTO STORE makao makuu ya club ya toto ya mwanza enzi hizo.
ReplyDeletena nyuma ya hapo mtaa wa pili kuna hiyo club ya DELUX