Tupe maoni yako
Marekani yasifu mazungumzo na Iran, Trump asema yameanza vyema
-
Marekani na Iran zilikutana jana huko Oman kufuatia kuongezeka kwa mvutano
kati ya nchi hizo, huku Trump akirudia kuonya kuhusu uwezekano wa shambulio
la k...
1 hour ago
hapo ni mjini kaka
ReplyDeletehilo jengo la rangi ya njano ni Salma cone na pembeni yake kulikuwa na TOTO STORE makao makuu ya club ya toto ya mwanza enzi hizo.
ReplyDeletena nyuma ya hapo mtaa wa pili kuna hiyo club ya DELUX