ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, May 5, 2010

MWALONI LEO.

LEO NA TULIANGALIE SOKO LA MWALONI KIRUMBA JIJINI MWANZA MAARUFU KWA BIASHARA YA DAGAA, NDIZI,MAFUTA, MAZAO MBALIMBALI YA CHAKULA NA BIDHAA NYINGINEZO. KIUNGANISHI KWA BIASHARA NA VISIWA VILIVYOKO NDANI YA ZIWA VICTORIA.

BIASHARA HUFANYIKA NDANI NA NJE YA NCHI. MF. CONGO, KENYA,,,,,

MITUMBWI YA WAVUVI WALETA MAZAO MBALIMBALI TOKA VISIWANI.

DAGAA HULETWA NDANI YA MAGUNIA ZIKIWA ZIMEKAUSHWA, MADALALI HUKABIDHIWA KISHA ....

BIASHARA MOJA HUSUKUMA BIASHARA NYINGINE.

DAGAA HUTOKA VISIWA VYA UKEREWE, KOME, UKARA,MAJITA, GOZBA, BUKOBA NA NK.

MZIGO ULIO TAYARI KUSAFIRISHWA.

MADALALI KAZINI.

BIASHARA YA NDIZI INA NAFASI KUBWA NDANI YA SOKO LA MWALONI.

HAKITUPWI KITU HAPA! WAKATI MAGANDA HUWA LISHE KWA MIFUGO MPANGO MZIMA KWA ZILE NDIZI AMBAZO HUROJEKA SANA BAADA YA KUIVA HUMENYWA NA KUHIFADHIWA KWENYE NDOO NA KUUZWA KWA WATENGENEZAJI WA POMBE ZILEEEEE.

NDIZI HUIFADHIWA NAMNA HII ZISIPATE KUATHIRIWA NA JUA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.