SAFARI HII KANDA YA ZIWA ZAO LA MPUNGA LIMEKUBALI HASWAAA KUTOKANA NA MVUA NYINGI ZILIZONYESHA PAMOJA NA WAKULIMA KUANDAA NA KUPANDA MAPEMA.. INGAWA WENGI WALIPANDA KWA SHAKASHAKA! (msemo wa njogopa).
ENEO LA MASHINENI, MABATINI JIJINI MWANZA, MPUNGA UMESHEHENI HATA NJE YA VIWANDA. pichani moja ya kibanda cha kusaga na kukoboa nafaka..
MIZANI ZITUMIKAZO KIUKWELI ZINAUBORA, HAZIPUNJI KWANI MARA BAADA YA MANUNUZI NA KUFIKA KARIBU NA HOME NILIJARIBU KWENDA KWA MWENYE DUKA JIRANI NINAYE MFAHAMU NA KUUPIMA TENA MZIGO. KITU KIKASOMA SAFIIII!
TAZAMA USIKU WA BI FELISIA KYAMANI ULIVYO FANA
-
Wanafamilia na Waalikwa wakicheza kwaifuraha na shangwe kwenye siku hii
muhimu ya SendOff ya Bi Felias Kyamani .
Watu walivaa na kupendeza Ukumbi ulipambw...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.