WATANZANIA WAKIJITUMA KWA NGUVU ZOTE KUISHANGILIA TIMU YAO YA TAIFA NDANI YA UWANJA WA CCM KIRUMBA MWANZA MCHEZO ULIOISHA KWA TIMU YA UGANDA KUIBUGIZA STARS 3-2.
NI KIPINDI CHA KWANZA AMBACHO KILIISHA UGANDA WAKIONGOZA 1-0 PICHANI KOSAKOSA KATIKA LANGO LA TIMU YA UGANDA.
WATU LA-LA-LA-LA-LA AAAAAAAAAAAAAH!
GOLI LA KWANZA LA UGANDA LILIFUNGWA NA SULA MATUVU KUPITIA KROSI YA SAADAM JUMA, KIPINDI CHA PILI STARS WALISAWAZISHA KUPITIA MCHEZAJI NARBU KANAVARO NA KUONGEZA LA PILI KUPITIA NGASA, BAADAE UGANDA WALISAWAZISHA KUPITIA SHAHBAN JUMA HUKU LA USHINDI LIKIPATIKANA DAKIKA YA 40 SEC HALF KUPITIA OWEN KASULE. DAKIKA 90 WA TZ WANAREJEA MAJUMBANI KWAO VICHWA CHINI.
Taarifa kwa Umma Kuhusu Ongezeko la Bei za Mafuta.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Tunatambua ongezeko kubwa la hivi karibuni la bei za mafuta ambalo
limeongezeka kwa asilimia 33. Kama jukwaa linalolenga kusawaz...
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
0 comments:
Post a Comment