Tupe maoni yako
Sarmat: Lifahamu kombora la Urusi lenye uwezo wa kuruka umbali mrefu zaidi
duniani
-
Urusi imetangaza jaribio la mafanikio la kombora la masafa marefu la Sarmat.
4 hours ago
Tupe maoni yako
Gsengo thanks sana kwa kutuletea Taswira za mwanza.
ReplyDeleteKule ile hotel ilikuwa maeneo ya Kamanga(ROCKY BEACH) baadaye nasikia walipewa wa Asia(sijui china au wahindi sina uhakika).Sijui kwa sasa inatwa jina gani na vipi kuna mabadiliko..kama yapo nitashukuru sana kuona Kiwanja hicho mkuu.
mdau Tampere,Finland
Edwin umejichimbia wapi we? Pamoja mzazi
ReplyDelete