Tupe maoni yako
RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU YA
CHAMWINO MKOANI DODOMA.
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Mhe. Profesa Palamagamba John Aidan Kabudi kuwa Waziri wa Nchi,
Ofi...
1 hour ago
Gsengo thanks sana kwa kutuletea Taswira za mwanza.
ReplyDeleteKule ile hotel ilikuwa maeneo ya Kamanga(ROCKY BEACH) baadaye nasikia walipewa wa Asia(sijui china au wahindi sina uhakika).Sijui kwa sasa inatwa jina gani na vipi kuna mabadiliko..kama yapo nitashukuru sana kuona Kiwanja hicho mkuu.
mdau Tampere,Finland
Edwin umejichimbia wapi we? Pamoja mzazi
ReplyDelete