ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, July 30, 2009

JIJI LA MWANZA LINAKUWA NA KATIKA USAFI HATUKO NYUMA

IKUMBUKWE KWAMBA JIJI LA MWANZA NDILO LINALOONGOZA KWA USAFI NA HIVI KARIBUNI KAMPUNI YA MAWASILIANO TIGO ILITIA CHANGAMOTO KUUNGA MKONO SHUGHULI YA USAFI ILIYOANZISHWA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MH. LAWRANCE MASHA SAMBAMBA NA MKUU WA MKOA WA MWANZA BW. ABASS KANDORO. USAFI ULIKWENDA VIZURI NA NAFURAHI KWAMBA NDANI YAKE MAPUNGUFU YALIIBULIWA NA KUWEKWA HADHARANI HIVYO KUTIA CHANGAMOTO YA USAFI HALISI UNAOTAKIKANA. NENDA USWAZI SASA......NIBARAA.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. mimi ni mdau wa mwanza ambaye niko uk nimeipenda globu yako kwa kutuhabarisha mambo yahusuyo mwanza. Je unaweza kueleza ni mikakati gani ya usafi iliyowekwa na abbas kandoro akishirkiana na masaha pamoja na tigo?

    BMK

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.