Tupe maoni yako
Maandamano Tanzania: Balozi 16 za nchi za magharibi zataka uchunguzi huru
wa matukio ya Octoba 29
-
Balozi hazi zimesisitiza kwamba Serikali ya Tanzania ina wajibu wa kutoa
taarifa ya kina kuhusu hatima na mahali waliko watu wote waliotekwa nyara.
29 minutes ago
mimi ni mdau wa mwanza ambaye niko uk nimeipenda globu yako kwa kutuhabarisha mambo yahusuyo mwanza. Je unaweza kueleza ni mikakati gani ya usafi iliyowekwa na abbas kandoro akishirkiana na masaha pamoja na tigo?
ReplyDeleteBMK