NA ALBERT G.SENGO
🌍 KARIBU MWANZA 🇹🇿
Maadhimisho ya Siku ya Ziwa Victoria 2026 yanakuja kwa kishindo jijini Mwanza kuanzia tarehe 18 hadi 21 Mei 2026!
Kutakuwa na:
Upandaji miti
Uhamasishaji wa utunzaji wa maji
Jukwaa la wadau
Uzinduzi wa Kituo cha Kikanda cha Utafutaji na Uokoaji
Maonesho makubwa ya biashara, huduma na bidhaa mbalimbali katika viwanja vya Nanenane Nyamhongolo.
Nchi mbalimbali za Afrika Mashariki na Ukanda wa Ziwa Victoria zitashiriki pamoja na Tanzania kuwa mwenyeji.
Kauli mbiu:
“MAJI YETU, MUSTAKABALI WETU: TUUNGANE KWA UENDELEVU WA BONDE LA ZIWA VICTORIA”
📍 Mwanza ndiyo mahali pake!
#LakeVictoriaDay2026 #Mwanza #ZiwaVictoria #Tanzania #EastAfrica #Environment #Nyamhongolo #VictoriaLake
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment