ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, April 9, 2026

KILA MWENYE PUMZI AKAPELA - AIC Chang'ombe Choir (CVC)

 Kipindi cha Pasaka ya Mwaka huu 2026 tumepata nafasi ya kuwafikia AIC Chang'ombe Choir ya Jijini Dar es salaam, waliokuwa na mwaliko wa kushiriki ibada ya uimbaji katika kanisa la AICT Makongoro jijini Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment