Mkurugenzi Wa Uendeshaji Na Biashara wa EFM TV E Bwana Denis Busulwa (Ssebo) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa za kifo cha Ssebo zimethibitishwa na Mkurugenzi wa EFM TVE Francis Majizo kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii akeeleza kuwa taratibu zingine zinaendelea na taarifa zaidi zitatolewa.
"Kwa moyo mzito na machozi mengi, nasikitika kutangaza kifo cha rafiki, kaka, aliyekuwa msimamizi wa ndoa yangu, na mfanyakazi mwenzangu aliyeitumikia EFM na TVE kwa nguvu zake zote, ndugu yangu Ssebo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment