Katika mwendelezo wa Ziara ya Shirika la Kutetea Haki za Abiria Nchini (SHIKUHA) Mkoa wa Dar es Salaam
Wamepokelewa na Incharge wa LATRA CCC Bi. Fatma ambapo walizungumzia masuala mbalimbali na mikakati ya kumtetea Abiria pindi anapokuwa amepokwa Haki zake za msingi awapo ndani ya chombo cha moto
Imetolewa na:-
Ofisi ya Katibu Mkuu SHIKUHA-Taifa
Hashim Omary Ramadhani
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment