ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, January 13, 2026

ALLAN OKELLO NI MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC

 


KLABU ya Yanga  ya nchini Tanzania imemtambulisha rasmi winga wa Kimataifa wa Uganda Allan Okello (21) kuwa mchezaji wake mpya akijiunga na Wana Jangwani hao kutoka Vipers FC ya kwao.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment